KERO Watumishi wa umma kutohamishiwa mshahara baada ya kuhama kwenda Halmashauri nyingine nini shida?

KERO Watumishi wa umma kutohamishiwa mshahara baada ya kuhama kwenda Halmashauri nyingine nini shida?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Kindo Sila

Member
Joined
Jun 22, 2024
Posts
6
Reaction score
6
Wadau tujuzwe hili kwa ufafanuzi.

Nini shida kwa watumishi wa umma, waliohamishwa na Katibu Mkuu, TAMISEMI kwenda HALMASHAURI zingine, hasa walimu kuto hamishwa mishahara tangu walipohama Kati ya September na October 2023.

Kwa maana kwamba CHEKI NAMBA bado zinasoma kwa Mwajiri we zamani kwenye MFUMO wa UTUMISHI na siyo mwajiri mpya.

Afisa Utumishi wa HALMASHAURI anasema, taarifa kasha tuma TAMISEMI, lakini MFUMO inaonyesha jamaa bado yupo kwa Mwajiri wa zamani. JE shida Ni Nini??
 
Back
Top Bottom