Tetesi: Watumishi wa umma na wafanyakazi mtamkatikia tena viuno jpm siku ya meimosi ²019

Tetesi: Watumishi wa umma na wafanyakazi mtamkatikia tena viuno jpm siku ya meimosi ²019

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Niende kwenye mada watumishi wa umma na wafanyakazi na vyama vyenu vya cwt tughe tuico nk huwa mnakata sana viuno mkiimba kwaya kubembeleza muongezewe hela yani mmekuwa kama mazuzu nawauliza kungali mapeeeeeeeemaaaaa mtamualika tena jpm meimosi ya 2019 ? Nawatakia kila LA heri na maandalizi mema ya kwaya na t-shirts!!!!!!!
 
Wakishawekewa ngoma wanasahau kbs.. Hakuna watu wajinga km watumishi hususani wa level ya chini. Wakivaa tu matisheti basi wanamaliza
 
Usiende mbali, walimu wamesha anza mazoezi ya kuimba tenzi.
 
Back
Top Bottom