multitalented123
Senior Member
- Nov 30, 2015
- 126
- 47
ID haihusiani na mada hapo juu we nitafute kupitia hizo namba tuyajenge popote ulipo huduma ni faster sanaKwanza kwa nn umebadili ID
jini mnyonya mshaharaMaisha ni kupanga, ukipanga vizuri ni lazima ufanikiwe..
Kama unahitaji pesa chap chap kuanzia laki 1 na kuendelea kwa ajili ya matibabu, biashara au Elimu karibu kampuni ya PLATINUM CREDIT LTD kwa mawasiliano zaidi +255 764 734 698 au WhatsApp +255 689 462 901 huduma ni 24/7
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka kukopa kopa sehemu salama kama platinum credit LTD, ambako tunatoza riba za mwezi na tunampa mteja Uhuru wa kulipa deni lote hata baada ya mwezi mmoja wa makato, lakini pia mikopo yetu kama mteja akifukuzwa kazi ama akifariki hata kama amekopa milioni 10 mkataba wetu na yeye unaishia hapo,Nyie mnaongoza kwenye list ya maadui wa Mtumishi,kwa yaliyowapata jamaa zangu nasema hamfai mara 100.
Acha LongolongoUkitaka kukopa kopa sehemu salama kama platinum credit LTD, ambako tunatoza riba za mwezi na tunampa mteja Uhuru wa kulipa deni lote hata baada ya mwezi mmoja wa makato, lakini pia mikopo yetu kama mteja akifukuzwa kazi ama akifariki hata kama amekopa milioni 10 mkataba wetu na yeye unaishia hapo,
Vilevile hatutoe pesa mkononi pesa yako utayokua umeomba inawekwa kwenye account yako mojakwamoja.
Na hatuna loan processing fee na kiasi utakachoomba hichohicho utakikuta bank
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka maelezo zaidi mkuu kuna mawasiliano, tuwasiliane nikujuze zaidi
Huwezi kusema sisi ni maadui wakati watu wanapata pesa kwa ajili ya matumizi mbalimbali mwingine kwa ajili ya masomo,Ada za watoto, biashara na matibabu hawa wote shida zao ziliisha kwa kupata mikopo ya haraka kwetu...labda sio platinum credit ltdNyie mnaongoza kwenye list ya maadui wa Mtumishi,kwa yaliyowapata jamaa zangu nasema hamfai mara 100.
Teh teh mkuu naona we bado huna shida ya pesa chap chap, naamin ukiwa na shida ya hela hutatuma ujumbe wa iviMtoa mada
Una kosa LA kutumia avatar ya Behaviourist bila Ridhaa yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Riba yao !
Yes ni watumishi wa Umma/serkali tu mkuu na mashirika ya serkali pia kama Takukuru, Sumatra, Tanroad, Mamlaka za maji, umeme n.kNi lazima watumishi wa umma je mtumishi binafsi
[emoji375][emoji375]
Riba ni yakawaida sana mkuu inawezekana hukuelewa tu.Riba yao !