Mbunge selemani bungala "bwege" alisema mwishoooni mnaongeza mishahara, kesho nitaleta clip yakeHili wanalifahamu miaka yote, labda wewe ndiye ulikuwa hujui. Na ccm wanatambua hilo, ndio maana sasa unasikia bunge linasema watumishi wa umma wanalipwa kidogo, Walimu waongezewe mishahara. Yote haya wanatengeneza mazingira ya kudanganya kwamba sasa wanayafanyia kazi matatizo ya watumishi wa umma.