General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Kila mtumishi ana watu kibao wanamtegemea! Ana ushawishi mkubwa kwa wategemeziWatumishi wa Umma sio threat hata kidogo na hawana impact. Unajua wapo wangapi ukilinganisha na idadi ya wapiga kura wote hapa nchini?
Kila mtumishi ana watu kibao wanamtegemea! Ana ushawishi mkubwa kwa wategemezi