Uchaguzi 2020 Watumishi wa umma tuiondoe CCM madarakani

Mwenye nchi alishawaambia wafanyakazi kuwa kama mnaona mishahara midogo nendeni mkalime kwani yapo mapori mengi sana Tanzania.
Na yeye kama hawezi kuongoza nchi akalime awapishe wengine wenye uwezo
 
Umesahau kama tulipunguziwa kodi? Au mnajifanya hamnazo?
 
Vyama vya wafanyakazi hawana sauti, hawafurukuti.
Jiwe kapanda na kupandikiza watu wake. Jiwe mwoga sana huyu mtu sijapata kuona. Kama mumeliona hilo hongereni watumishi.

Sisi wakulima tulishafanya maamuzi ya kumuondoa huyu mharibifu wa masoko ya mazao yetu
 
Tupo pamoja kaka
 
Kama wewe hujapata increment ni kwa sababu ya ku underperform kwako. Sisi tulipata na tukapandishwa madaraja kwa sababu ya kufanya kazi kwa juhudi na maarifa. Pambana na hali yako.
Wew ulipata kwa sababu ya unduguzation kwenye idara,kwa hiyo na mwaka huu wote wameperform poor ndo maana hawajapanda
 
Tupo laki tano nukta 5 ongeza wategemezi laki 5 tunapata 1 milioni point 5 ongeza vijana jobless mitaani kama million 1.5 tunapata 3 kura hizi zikitua kwa CHADEMA ccm mtanyooka tu mwaka huu

Na bado hatujafanya manuva kama maafisa wa Tume
Kumbuka kwa takwimu rasmi za NEC wapiga kura kama wanavyosomeka kwenye daftari la kudumu ka wapiga kura wapo zaidi ya 29mil. Sasa hizo kura za wafanyakazi wa umma na familia zao sawa si zakupuuza, lakini hazitoshi kumuangusha mtu mwenye "incumbency advantage"(in Katibu Mkuu's voice)
 
Tupo laki tano nukta 5 ongeza wategemezi laki 5 tunapata 1 milioni point 5 ongeza vijana jobless mitaani kama million 1.5 tunapata 3 kura hizi zikitua kwa CHADEMA ccm mtanyooka tu mwaka huu

Na bado hatujafanya manuva kama maafisa wa Tume
Na hapo bado hujahesabu watumishi wa uma waliopata kazi kupitia mgongo wa chama au connection za watu waliokua kwenye chama............hata watakaohusika kwenye bao la mkono ni watumishi wa uma...........ila sio mbaya kuwaza tofauti
 
Na bado kwenye hao watumishi wa umma wapo ambao wana connection za chama Tawala.........
 
Wewe ni una hoja za kijinga, hao wamachinga mnunuzi mkubwa wa biashara zao ni mfanyakazi ambaye yuko hoo kwa kufukarishwa na ccm, wadhan hawajui na wengi wao hali zao ni mbaya hasa kwa kukosa wateja.
 
Wewe ni una hoja za kijinga, hao wamachinga mnunuzi mkubwa wa biashara zao ni mfanyakazi ambaye yuko hoo kwa kufukarishwa na ccm, wadhan hawajui na wengi wao hali zao ni mbaya hasa kwa kukosa wateja.
Na wengi waliopata nafasi kwenye utumishi wa umma ni loyal sana kwa chama tawala .......wapinzani wapo ila sio wengi sana
 
Sio wote wanaojiandikisha wanapiga kura,watu wanajiandikisha wapate I'd kwa matumizi mengine,kwa wastani watakaopiga kura hawazidi milioni 15 imagin watumishi na wategemezi wanakura million 3,hujaenda wafanyabiashara magumu waliyopitia,hujaenda wakulima,na Mkoa wa kagera kwa kauli za kuwabeza hapa lisu amepata milioni 7 hujaenda mikoa mingine kama singida na kusini hajafika milioni 8,magufuli anabaki na million 7 na kugawana na akina Lipumba

Nani mshindi hapa
 
Kwa tume gani ya uchaguzi? Hii iliyopo? Mmeliwa!
 
hapa sijaafiki kabisa! miaka mitano unayosema hakuna hata kilichipanda bei zaidi ya kushuka bei ya vitu! mfano viwanja!
kabla ya 2015 tulikuwa tunaishi si kwa uhalisia!

sijaona athari kwa kutokupandisha mishahara zaid ya kujiwazia sie binafsi! tuwaonee huruma watanzania wa hali ya chin ambao wana mahitaji muhim zaid yetu
 
Wewe ni una hoja za kijinga, hao wamachinga mnunuzi mkubwa wa biashara zao ni mfanyakazi ambaye yuko hoo kwa kufukarishwa na ccm, wadhan hawajui na wengi wao hali zao ni mbaya hasa kwa kukosa wateja.
Ahaaa,,,,,CDM mnazidi kukosa weredi.kama wafanyakazi wa serikali awawezi nunua kuna wafanyakazi wa sekta binafsi,wafanyabiashara wakubwa,wakati na wadogo pia watanunua vitu kwa machinga.
 
Kama wewe hujapata increment ni kwa sababu ya ku underperform kwako. Sisi tulipata na tukapandishwa madaraja kwa sababu ya kufanya kazi kwa juhudi na maarifa. Pambana na hali yako.
Na siku hizi tunapata huduma nzuri za kijamii. 5tena kwa John Pombe Magufuli
 
Ahaaa,,,,,CDM mnazidi kukosa weredi.kama wafanyakazi wa serikali awawezi nunua kuna wafanyakazi wa sekta binafsi,wafanyabiashara wakubwa,wakati na wadogo pia watanunua vitu kwa machinga.
Watanunuaje wakati hamna circulation of money,hela zote serikali imezilalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…