Hii n nzr sana na sio tu kwa watumishi waishio vjjin tu,hata kwa wale waishio mijn wanawez kuwekez vijjn pia kwn maeneo yanapatikana.Rai yangu kwa Watumishi wa Umma tunaoishi vijijini hasa maeneo yanayoruhusu shughuli za Kilimo, tujikite katika Kilimo kwa nguvu.
Faida ni nyingi;
1. Uhakika wa chakula
2. Ongezeko la kipato
3. Hautoutolea macho mshahara na manung'uniko yatapungua
4. Ni maandalizi mazuri ya kustaafu
5. Utaweza kufanya mambo mengine nje ya mahitaji ya msingi.
[emoji3516]Hii n nzr sana na sio tu kwa watumishi waishio vjjin tu,hata kwa wale waishio mijn wanawez kuwekez vijjn pia kwn maeneo yanapatkan t
Sent from my itel it1556 using JamiiForums mobile app