Watumishi wa Umma wa Tanzania, kikundi maalumu cha Watanzanzania, wajinga wasiojielewa, watashangilia nyongeza ya mishahara hapo May 2020

Watumishi wa Umma wa Tanzania, kikundi maalumu cha Watanzanzania, wajinga wasiojielewa, watashangilia nyongeza ya mishahara hapo May 2020

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2018
Posts
11,936
Reaction score
15,196
Hawa ni wahanga haswa wa awamu hii.
Hawajaongezewa mishahara kwa mujibu wa sheria wakiambiwa wanajengewa madaraja na kununuliwa ndege.

wapo waliosimamishwa na kufukuzwa kazi kwa mihemko ya viongozi vichaa vichaa.

Hatutawashangaa watakapopewa nyongeza ya mishahara iliyocheleweshwa na kutuambia raisi anawajali.
KUMBUKENI KIKOKOTOO NI MWISHO 2023 KIPO.
CCM OYEEEEEEEE
 
Back
Top Bottom