Tila-lila2
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 652
- 1,058
Haijulikani sababu ni zipi zimeletekeza watumishi wa Umma ndiyo kuwa wengi katika kutia nia kuliko wafanyabishara na wafanyakazi wa Sekta Binafsi. Kuna wengine ambao waajiri wao wamegoma kuwapitishi ruhusa.
Kuna wengine kwa kuona mizengwe ya viongozi wao kuhusu kuomba ruhusa wameamua kuondoka bila kusubiri hizo ruhusa na wengine wametumia likizo zao. Kila mmoja kivyake. Kuna waajiri ambao pia wameanza kuwaita watia nia ambao wanaona hawakuomba ruhusa na kuwalazimisha kuandika barua za kujieleza. Watumishi wa umma wananyanyasika sana katika utawala huu!