Zipo taarifa za kuzuia mishahara ya Watumishi waliogombea nafasi mbalimbali katika mwezi huu wa Julai, aliyetoa ushauri huu ana nia ya kutaka kumuharibia Rais Magufuli 2020, Oktoba 28.
Rais Magufuli nikuombe uingilie kati hili si jambo la afya na ukingazatia watia nia hao wataombwa kwenda kusaidia kuweka umoja katika majimbo waliogombea, nani atakubali kwenda kusaidia chama wakati mshahara wake ulikatwa.
Wapo baadhi ya watu hawamsaidii Rais, hili jambo kwa mwaka huu kibali kama lilivyozoeleka
Rais Magufuli ni mwerevu na kuelewa, usikubali hujuma hii kwako.
Mishahara ulikatwa hakuna atakayebaki salama
Maana Rais na yeye ni mtumishi wa umma, mawaziri na wao ni watumishi wa Umma kila mtu aliacha kazi kwenda kugombea.
Hapa twende na Utanzania wetu
Serikali ya CCM ni SIKIVU