Watumishi wa umma wana cha kujifunza kwa Sabaya

Watumishi wa umma wana cha kujifunza kwa Sabaya

nashicha

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2021
Posts
279
Reaction score
524
Wanabodi kwa jinsi ilivyo duniani vyeo tulivyonavyo ni mamlaka ya muda tu Bado utu wetu na nidhamu ni muhimu sana hakuna haja ya kupandisha mabega na kujipa umungu mtu hata tuwe na elimu ya aina gani hatukupewa uwezo wa kujua Kesho yetu.

Leo Wakuu wa mikoa willaya wakurugenzi na wote waliokuwa na mamlaka awamu ya Tano lazima wamepata somo kubwa sana maana maandiko yanasema OLE WAKE AMTEGEMEAYE MWANADAMU MWENZAKE.

Leo hii watu kwa mioyo Yao hata kama hawajashtakiwa hawapo mahakamani Wala hawajaondolewa madarakani wanauheshimu ukuu wa MUNGU kupitia Sabaya, madaraka ni ya muda tuu yasikuondolee utu wako Leo viongozi waliokuwa wanajipa umungu mtu wako kimya HAWAJUI Kesho Yao maana wamekutana na Mkuu wao asiyependa dhulma.
 
Back
Top Bottom