A
Anonymous
Guest
Kuna huu mfumo wa ESS (Employee Self Service Portal) unaotumiwa na Watumishi wa Umma Nchini, ni moj ya mifumo ambayo imepunguza usumbufu mkubwa na kurahisisha mambo mengi yanayohusu utendaji wa Serikalini.
Moja ya matumizi ya mgumo huo ni kutumika kama njia ya kuomba mkopo, Mtumishi ambaye ameshaomba mkopo kupitia mfumo huu akitaka kufanya loan-top up yaani kuoba deni juu ya deni umekuwa na changamoto japo sio kwa watu wote.
Kuna wenzetu ambao walitumia mfumo huo kuomba mkopo wa top up wakafanikiwa, lakini wengine ambao wanatumia Azania Bank walipojaribu kufanya hivyo, mfumo ukawakatalia, wakamua kwenda Benki kuulizia wakaambiwa waombe ‘manually’, wakafanya hivyo napo ikashindikana.
Moja ya mambo ambayo yanaweza kukufanya ushindwe ku top up ni kama kiwango cha mshahara wako kinachotakiwa kubaki kitakuwa chini ya moja ya tatu.
Wenzetu walipoenda benki kuomba kwa njia ya kujaza manually napo hawakufanikiwa.
Walipojaribu kwenda benki nyingine ili wanunue mikopo yao wakajulishwa kuwa mifumo imekuwa na changamoto katika kusomana.
Mbali na hapo wakihamia benki nyingine pia inaweza kuwaghalimu kwasababu kiwango cha kukopa kitakuwa kimeshuka kwasababu wanadaiwa na benki nyingin (Azania).
Nadhani ni vema Azam Bank ikaweka wazi kuhusu changamoto hiyo, kama ni kwao tu na kwa nini, kwani kuna taarifa kuwa inadaiwa mzigo umeka kwao ndio maana wanayajenga na watu wanaoweza kucontrol mfumo ili wale wanaotaka ku top up mambo yaende ndivyo sivyo.