Watu wanajininulia sare kila siku. Na mikutano hiyo huwa haifanyiki bila wao kupewa hela.Habari ndugu zangu,
Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na tangazo la kibabe lenye ujumbe unaowataarifu Watumishi fulani kuhusu Mkutano wa Hadhara utakaofanywa na Katibu Mkuu wa CCM Dodoma.
Maajabu ni kwamba tangazo hilo limewataka Watumishi wahudhurie wakiwa na sare iliyoandikwa Dodoma Fahari ya Watanzania na wazinunue sare hizo kwa pesa zao wenyewe.
Tangazo limekaa kimamlaka sana.
Je, kuna kitu Watumishi wanapata tokea mikutano hii mpaka walazimike kujinunulia sare?
Jionee tangazo hili hapo chini:
View attachment 2666778
Hili tangazo linaonekana ni specific kwa ajili ya ofisi fulani. Ina maana Watumishi wote wa Umma wanamfahamu huyo Aziza????Habari ndugu zangu,
Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na tangazo la kibabe lenye ujumbe unaowataarifu Watumishi fulani kuhusu Mkutano wa Hadhara utakaofanywa na Katibu Mkuu wa CCM Dodoma.
Maajabu ni kwamba tangazo hilo limewataka Watumishi wahudhurie wakiwa na sare iliyoandikwa Dodoma Fahari ya Watanzania na wazinunue sare hizo kwa pesa zao wenyewe.
Tangazo limekaa kimamlaka sana.
Je, kuna kitu Watumishi wanapata tokea mikutano hii mpaka walazimike kujinunulia sare?
Jionee tangazo hili hapo chini:
View attachment 2666778
KUNA SIKU MAVAZI YA CCM ITAKUWA VAZI LA WATUMISHI WA UMMA NA WABUNGEHabari ndugu zangu,