Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hivi mtu akikuambia nakupunguzia kodi so lazima atakuambia ni asilimia ngapi anakupunguzia! Halafu waziri alisema kodi itaondolewa kwa wale wanaolipwa 270, 000 kushuka chini tu ambapo awali favor iliwagusa wale waliokuwa wanalipwa chini ya 170, 000 tu na wengi au karibu wote hapa si watumishi wa umma. Watumishi wa umma wanalipwa kuanzia laki tatu.
Kuna kodi ambayo hukatwa watumishi nje ya ile PAYE ya 9% , na hii haiwagusi watumishi wote wa umma. Ila hii inrement ya jana kila mtumishi wa umma imemfikia bila kujali ukuwa wa mshahara wake. Niko tayari kukosolewa lakini naendelea kusisitiza kuwa kilichofanyika kwa watumishi wa umma si punguzo la kodi bali ni ongezeko la mwaka ambalo halizidi 5% ya mshahara.
Kwa wanaotaka kuprove wachukue barua zao za kupandishwa vyeo wasome ile grafu ya increment yao wataoanisha na kilichoongezeka kwenye mshahara tuliolipwa jana au barua ya kuajiriwa wajionee