Watumishi wa umma wavurugwa, annual increment wanasema punguzo la kodi

Acha kupotosha wewe,serikali yenu tangia 2016 haijawahi kupandisha mshahara ndio ije kupandisha 2020? Hiyo ni Punguzo la PAYE na ni 51,000/= tu kwa wengi.
Mkuu hiyo imepunguzwa kwenye zile fixed amount kwa viwango vile vya intervals au imepunguzwa kwenye percentage? Naomba nijibu please kama una taarifa za kutosheleza!
 
Wala hujakosea ni kweli watumishi wamevurugwa... ndio maana hata wewe umeshindwa kufahamu hii sio annual increment bali ni punguzo kwenye PAYE japo hata wanaosimamia kwenye hoja hii hawawezi kufafanua ni asilimia ngapi imepungua

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Sisi tusio juwa peisilipu ndo nn 2komenti wap duh!kuajiriwa changa faya kwa kweli!!!!
 
Vipi mtoa mada yule dereva mstaafu bado anendelea kuripoti kazini?
 
Mkuu hiyo imepunguzwa kwenye zile fixed amount kwa viwango vile vya intervals au imepunguzwa kwenye percentage? Naomba nijibu please kama una taarifa za kutosheleza!

Nahisi ni kwenye Fixed maana wengi increment ni kuanzia 51,000/= hata kama unalipwa mili 10 au mil 1 ongezeko ni 51,000-53,000/=
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…