Watumishi wa umma Zanzibar wapata nauli, wale wa muungano hali ya uchumi haijatulia

Retina

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2015
Posts
1,039
Reaction score
1,163
Yawezekana watanganyika wananyonywa hasa na wazanzibar, watumishi wa umma wa muungano wanailisha zanzibar, juhudi zao za kazi, maarifa na jasho linalovuja sio kwa ajili yao tu bali hata kwa watanganyika.

Mikopo inayokopwa na wakuu wa muungano sio kwa watanganyika tu bali hata kwa wazanzibar lakini walipaji ni watanganyika kupitia TRA iliyopo upande wa muungano.

Ukitafakari sana unaona bora kungekuwa na serikali tatu.Inawezekanaje watumishi wa umma wa Zanzibar waongezewe mshahara kila mwaka japo mwaka huu wamesema nauli,ina maana uchumi wao uko juu, hali ambaya watumishi wa umma wa Tanganyika kupitia muamvuli wa muungano,wakubwa wanasema wataongezwa hadi uchumi utulie, hawahawa wafanyakazi ndio wanailisha Zanzibar, inakuwaje serikali ya muungano imelemewa na kuilisha Zanzibar na watanganyika.

Nilitegemea Wafanyakazi wa Tanganyika chini muungano wangelipwa vizuri zaidi kuliko wale wa Zanzibar.

PIA SOMA
- Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?
 
Zanzi ni Nchi ya wenyeakili sn za maisha Achana na zakukariri darasani...
Danganyika(si nchi ni lieneo tuu) walio weeeengi wanapelekeshwa na wazanzi wachaaaache😁😁😁😁
Na madanganyika hayana cha kufanya zaidi ya kulialia😭😭😭😭

Kumbuka kwasasa maraisi woote wanatoka upande wa wajanja wachacheee wenyenchi yao 😁😁😁😁

Nchi yazenji imetoa Marais haoo✌🏽na lieneo la waliowengi limepewa mwanamke awaongozee lieneo lao maana sionchi
Ujinga ni mzigo mzito wandugu ujinga kama huu usikae uutarajie kwa nchi zenyewatu bright kama Uingereza nk.😁😁😁...
 
Tanganyika hatuna akili tumekubali kuwa coloni la Zanzibar
 
Yawezekana watanganyika wananyonywa hasa na wazanzibar, watumishi wa umma wa muungano wanailisha zanzibar, juhudi zao za kazi, maarifa na jasho linalovuja sio kwa ajili yao tu bali hata kwa watanganyika.

Mikopo inayokopwa na wakuu wa muungano sio kwa watanganyika tu bali hata kwa wazanzibar lakini walipaji ni watanganyika kupitia TRA iliyopo upande wa muungano.

Ukitafakari sana unaona bora kungekuwa na serikali tatu.Inawezekanaje watumishi wa umma wa Zanzibar waongezewe mshahara kila mwaka japo mwaka huu wamesema nauli,ina maana uchumi wao uko juu, hali ambaya watumishi wa umma wa Tanganyika kupitia muamvuli wa muungano,wakubwa wanasema wataongezwa hadi uchumi utulie, hawahawa wafanyakazi ndio wanailisha Zanzibar, inakuwaje serikali ya muungano imelemewa na kuilisha Zanzibar na watanganyika.

Nilitegemea Wafanyakazi wa Tanganyika chini muungano wangelipwa vizuri zaidi kuliko wale wa Zanzibar.

PIA SOMA
- Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?
Uilishe nini Zanzibar wewe?

Labda huelewi kuwa kero moja ya Muungano ambayo haijatatuliwa mpaka leo ni deni la Zanzibar inaloidai serikali ya Muungano na Tanganyika.
 
Niwe mkweli hata bila muungano hela za nauli hatulipwi
Miaka nenda Rudi hakuna nauli na ukipewa nauli ya km 1500 unapewa 60000 kwenda na kurudi
Mi nimeacha na kusafiri
 
Wali
Uilishe nini Zanzibar wewe?

Labda huelewi kuwa kero moja ya Muungano ambayo haijatatuliwa mpaka leo ni deni la Zanzibar inaloidai serikali ya Muungano na Tanganyika.
Mlitukopesha karafuu au?
Deni la umeme tumewasamehe...
 
Nasikia eti hata matibabu zanzibar ni bure kabisa na hata OS hamnaga san kule kam hapa bongolala
 
Yawezekana watanganyika wananyonywa hasa na wazanzibar, watumishi wa umma wa muungano wanailisha zanzibar, juhudi zao za kazi, maarifa na jasho linalovuja sio kwa ajili yao tu bali hata kwa watanganyika.

Mikopo inayokopwa na wakuu wa muungano sio kwa watanganyika tu bali hata kwa wazanzibar lakini walipaji ni watanganyika kupitia TRA iliyopo upande wa muungano.

Ukitafakari sana unaona bora kungekuwa na serikali tatu.Inawezekanaje watumishi wa umma wa Zanzibar waongezewe mshahara kila mwaka japo mwaka huu wamesema nauli,ina maana uchumi wao uko juu, hali ambaya watumishi wa umma wa Tanganyika kupitia muamvuli wa muungano,wakubwa wanasema wataongezwa hadi uchumi utulie, hawahawa wafanyakazi ndio wanailisha Zanzibar, inakuwaje serikali ya muungano imelemewa na kuilisha Zanzibar na watanganyika.

Nilitegemea Wafanyakazi wa Tanganyika chini muungano wangelipwa vizuri zaidi kuliko wale wa Zanzibar.

PIA SOMA
- Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?
Bara wakubwa wananunua mashangingi ya kuendea kazini, wale wa kawaida watumie mishahara yao kwa nauli ya kwenda na kurudi
 
Ndio maana nawaambia watu Nyerere nae alikurupuka kutuunganisha na hawa watu
 
Mbaya zaidi pesa zinatoka bara
Bibi anaongeza nguvu zenji kutoa huduma Bora huku bara anasema mashirika kichefuchefu yajitegemee kumbe anakata mshiko kijanja na midege inakimbiza watalii hata wasinunuee kitu bara,Lakini Hawa so called Wana usalama ni janga la Taifa kwa sasa,usalama gani wa taifa huku mnaoigwa na mvaa kijora.
 
Hovyo kabisa
 
Back
Top Bottom