Halmashauri zinazimamiwa na wajingaWatumishi wamehamishwa kutoka kituo A cha kazi kwenda vituo vingine bila malipo, ingawa agizo la uhamisho lilitolewa na kamati maalumu ya ukaguzi.
Mkuu wa idara, akionyesha nia njema, aliwaita ofisini ili kila mmoja achague kituo cha kazi kwa maandishi.
Hata hivyo, amezitumia barua za kuchagua kituo kuonyesha kuwa tuliomba wenyewe kuhama. Tuna zaidi ya miaka 6 hapa.
Je, tutumie kifungu gani kuomba kulipwa? Bado hatujaripoti, tunasubiri msaada humu. (Local Government)
Kuna miungu watu huko ambao hutamani kuona watu wakitaabika tu.Halmashauri zinazimamiwa na wajinga
Halmashauri hakuna matumizi ya Akili.Halmashauri zinazimamiwa na wajinga
Kuna jamaa alienda kuripoti halmashauri moja, akapangiwa kituo nje ya Headquater lakini Cha ajabu pale Headquater Kuna watumishi wa mkataba. Kwahiyo mtu wa Check namba akawa anaripoti kwa mtu wa mkataba Tena Diploma.Halmashauri zinazimamiwa na wajinga
Mkuu,naomba unishauri na Mimi kuna kitu cha AJABU sana kilinikuta Mimi kuhusu uhamisho.julai 2024 nilihamishwa kutoka kituo N Kwenda kituo E (uhamisho wa kulipwa).nikawa nafwatilia Hela ya uhamisho lakini wapi? October 2024 hela ya uhamisho ikawa umetoka lakini akalipwa mtu mwingine niliyemkuta kituo kipya na hakuwa anahusika na uhamisho,eti walikosea bahat mbaya kwa sababu majina ya Kwanza na ya mwisho yanafanana.Pole, ulipaswa ukabidhiwe barua inayokuelekeza kuwa umehamishwa kutoka kituo A kwenda B. Kujiandikia kuwa uende kituo Fulani huo ulikuwa mtego tu, hata hivyo km angekutaka uandike barua ya kujichagulia kituo basi ungemueleza tu kwa mdomo. Huenda hapo kituo cha awali wamewachoka ndiyo maana mnaambiwa mjichagulie pa kwenda. Ungetaja ni Idara gani tungekushauri kwa urahisi njia IPi upitie ili kupata stahiki zako.
Barua haitaja sababu za kuhamishwa,na hizo barua za kuchagua kituo kwa wote 7 hakuna aliyeomba KUHAMA.Pole sana kwa kadhia hio ila itumie kama darasa endapo unaendelea kua mtumishi wa umma chini ya Serikali za mitaa.
Walio elekeza uhamishwe (na/au Muhamishwe) wametumia kanuni kadhaa za kiutumishi (hapa jitahidi uzijue kanuni za kiutumishi wa umma) mfano: mtumishi wa umma anaweza kuhamishwa sababu ya adhabu au kuboresha huduma eneo atakalo enda au mbadala wa aliyekuepo anakoenda pia.
Pia barua uliopewa ya uhamisho imetaja sababu za kikanuni za wewe kuhamishwa kutoka kituo G hadi kituo F.
Idara ya ElimuPole, ulipaswa ukabidhiwe barua inayokuelekeza kuwa umehamishwa kutoka kituo A kwenda B. Kujiandikia kuwa uende kituo Fulani huo ulikuwa mtego tu, hata hivyo km angekutaka uandike barua ya kujichagulia kituo basi ungemueleza tu kwa mdomo. Huenda hapo kituo cha awali wamewachoka ndiyo maana mnaambiwa mjichagulie pa kwenda. Ungetaja ni Idara gani tungekushauri kwa urahisi njia IPi upitie ili kupata stahiki zako.
Sehemu J na L ziko upande wa watumishi labda kuwe na waraka unaopinga hivyo vifunguPole sana kwa kadhia hio ila itumie kama darasa endapo unaendelea kua mtumishi wa umma chini ya Serikali za mitaa.
Walio elekeza uhamishwe (na/au Muhamishwe) wametumia kanuni kadhaa za kiutumishi (hapa jitahidi uzijue kanuni za kiutumishi wa umma) mfano: mtumishi wa umma anaweza kuhamishwa sababu ya adhabu au kuboresha huduma eneo atakalo enda au mbadala wa aliyekuepo anakoenda pia.
Pia barua uliopewa ya uhamisho imetaja sababu za kikanuni za wewe kuhamishwa kutoka kituo G hadi kituo F.
Hahahaha! Si huwa wanasema uhamisho wa kuomba mwenyewe hakuna malipo. Sasa mlisainishwa bogus treaty walimu wazima, poleni sana.Watumishi wamehamishwa kutoka kituo A cha kazi kwenda vituo vingine bila malipo, ingawa agizo la uhamisho lilitolewa na kamati maalumu ya ukaguzi.
Mkuu wa idara, akionyesha nia njema, aliwaita ofisini ili kila mmoja achague kituo cha kazi kwa maandishi.
Hata hivyo, amezitumia barua za kuchagua kituo kuonyesha kuwa tuliomba wenyewe kuhama. Tuna zaidi ya miaka 6 hapa.
Je, tutumie kifungu gani kuomba kulipwa? Bado hatujaripoti, tunasubiri msaada humu. (Local Government)
Tayali meza imepinduliwa ,asanteni sana kwa ushauri wenu.Hahahaha! Si huwa wanasema uhamisho wa kuomba mwenyewe hakuna malipo. Sasa mlisainishwa bogus treaty walimu wazima, poleni sana.
Walivyowaita ofisini, mlitakiwa mmwambie mwajiri awandikie barua ya kuhamishwa ndio mlipwe.
Lakini hapo kwenye bogus treaty, ngoja waje wataalamu
Hapo sawa. Hongereni kwa kujipambania.Tayali meza imepinduliwa ,asanteni sana kwa ushauri wenu.
Uhamisho umefutwa kwa sababu ya kukiukwa kwa kanuni na taratibu za kiutumishi.