Watumishi waliohamishwa Utumishi kuanzia Agosti 2019 hadi Julai tarehe 15, 2020

huskryderz

Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
27
Reaction score
27
Idara ya Tamisemi embu mjitathimi kwanza, kuna majina yali leak mwezi wa September ya Uhamisho kwani watu hawajatolewa au kupewa Uhamisho kwa muda mrefu sana na mbaya zaidi inaonekana wengi mnataka rushwa na kujuana wakati barua za watumishi zimepitishwa kufuata utaratibu.

Inakuaje mnashindwa kuwaruhusu tena wengine wameandikiwa Uhamisho wa dharula lakini wana miaka zaidi ya mitatu au minne hawajapata kujibiwa na Ofisi husika- embu fanyeni kazi kwa utaratibu, au mnataka tuwe tunaandika na kusemeana kwa mkulu JPM.


 

Attachments

Mbozi iko Mbeya au Songwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…