BASIASI
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 9,732
- 5,006
Nasoma page mbalimbali unaona watumishi wa kiroho na wengine wachache wakifurahia tukio la Moshi. Mbaya wengi wanalilia pesa za sadaka zinazokusanywa na Mwamposa. Niwaambie tu haya yote ni unafiki hakuna Makanisa yasiyotoza watu sadaka wala zaka na mkae kimya msiaibike
Wengine mnaruhusu hata vimini makanisan mkiogopa watoto wa wazee wa kanisa wakikasirika zile sadaka amtazipata tena. Mwenzenu anapopitia mapito wakati wa kumuombea hata hili nalo litapita tu. Shikaneni mkiombeana nasio kuoneana wivu wa wingi wa watu
Hizo kelele za mafuta hata nanyi mngeweza kuuza ama. Maji mngeweza kuuza. Ombeaneni kila siku kama kanisa lako alijai ama alitoi virutubisho muhimu vya sadaka za kutosha muda muafaka kufunga waumini wabarikiwe. Kinachofanya wajazane kwa Mwamposa zile imani zao na hizo maji na mafuta wanapona na wanatoka kiuchumi
Tofauti ya kwenu muumini anasali miaka kumi bado anaomba Mungu ampe kazi. Mapenzi ya Mungu ni kuishi maisha mazuri sio hayo mafundisho mnayotufundisha tukifa masikini unakufa kwa bwana watu wameshtuka wanataka maisha mazuri uponyaji na sio kupokelewa sadaka tu
Regards
Basiasi