vamda
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 895
- 571
Ndugu wanajamvi. Napenda kujulishwa endapo watumishi wawili wamekubaliana kubadilishana vituo vya kazi kutoka mkoa 1 kwenda mwingine. Barua zao zikaenda kunakohusika lakini ikabainika mtumishi 1 ndiye aliyekidhi viwango vya kuhama na mwingine hajakidhi. Hapo inakuwaje. Je yule aliyekidhi viwango atahamishwa? Naomba majibu.