Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Hakika sio akili ya kawaida iliyokufunulia hayo bali rehma kutoka juu! Nyingine hadaa tu; maendeleo yana chama!Maendeleo yana Chama
Ni jambo jema piaUtaramba viatu hadi utokwe na kibiyongo lkn hatukupi uteuziView attachment 1712449
Well said.wafanyakazi hawakuajiriwa kwa ilani ta ccm. wana job description na mikataba ambayo wali sign.
hakuna mahali kwenye job decription waliandikiwa wafuate ilani.
wafanyakazi waendelee kufanya kazi kwa kufuata job decription na sheria za nchi
Ndugu watu wenye mandate ya kuendesha nchi ni chama tawala; jukumu la civil servant m ni ku-implement namna sahihi ya kuitekeleza ilani yao.Ilani ya ccm ipo kwa miaka 5 tu.
Lakini watumishi wa umma wapo kwa miaka 60.
Kamuulizeni kama analifahamu hilo?
Wakipata madaraka, hulewa. Imbecile!!
Huyo waziri nadiriki kusema kabisa HANA AKILIWafanyakazi hawakuajiriwa kwa ilani ta ccm. wana job description na mikataba ambayo wali sign.
hakuna mahali kwenye job decription waliandikiwa wafuate ilani.
wafanyakazi waendelee kufanya kazi kwa kufuata job decription na sheria za nchi
Ndugu ZanguMaendeleo yana Chama