KERO Watumishi Wilaya ya Mpwapwa Sekta ya Afya hatujalipwa fedha ya likizo tangu 2022

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Sisi Watumishi Wilaya ya Mpwapwa Sekta ya Afya tangu tumeajiriwa Mwaka 2022 hatukuwahi kulipwa fedha ya kwenda likizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…