C CLEVERMIND New Member Joined Jan 14, 2011 Posts 2 Reaction score 0 Jan 21, 2011 #1 Hivi hii katiba mpya walalahoi kama mimi wana nafasi ya kuchangia maoni yao....? Kifanyike nini...?mlala hoi apate nafasi hiyo....?
Hivi hii katiba mpya walalahoi kama mimi wana nafasi ya kuchangia maoni yao....? Kifanyike nini...?mlala hoi apate nafasi hiyo....?
P Popooo Member Joined Jan 18, 2011 Posts 46 Reaction score 5 Jan 23, 2011 #2 CleverMind huu ndio uwanja wenyewe kwanini wajisha, inabidi kujiamini. na unachofanya. Hili nijukwaa linalo heshimika, kwa kuelimisha jamii
CleverMind huu ndio uwanja wenyewe kwanini wajisha, inabidi kujiamini. na unachofanya. Hili nijukwaa linalo heshimika, kwa kuelimisha jamii