Ninja assasin
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 2,512
- 5,848
Hana akili uyo mpuuzeJe, huna uwezo wa kutambua kuwa hiyo video ni ya mchongo, feki?!
Gaza inaenda kuvurugwa maana kama inakuwa uwanja wa vita toka mataifa makubwa.Kimbembe kinanukia huko Ghaza.
Ni unafiki wa Waturuki na Urusi kutuma majeshi ya Ghaza au walikuwa wanagoja "timing" ya kidiplomasia kabla hawajafanya "move" yao.
Wayahudi na Wamarekani mavi debe, Jionee;
View: https://youtu.be/lVwK-lXMvDg?si=s71lmoSKbZwiuhk9
Kuna watu waongo humu...U
Urusi ipi hiyo inayohenyeshwa na Ukraine?muwe mnafuatilia vitu.msijiaibishe kwa kuropoka hapa
Na link tymekuwekea hapo, hujaiona?
Vijana wa Kipalestina wanaendeleza kupeleka moto huko:
View attachment 2842073