Kwa sasa Dunia nzima ina Simanzi kufuatia Tetemeko la Ardhi lililotokea Uturuki na kupoteza watu zaidi ya 35,000 hadi sasa.
Baada ya janga hili ajenda kubwa imekuwa ni Ubora wa kazi za kihandisi zinazofanywa na Waturuki.
Hapo ndipo nikakumbuka kwamba mradi wetu wa SGR Unajengwa na kampuni ya Yapi merkezi ambao ni waturuki.
Kwa uadilifu wao wa kutiliwa shaka ukijumlisha na Mainjinia wetu wanavyopenda 10% kweli huu mradi wetu utakidhi viwango?
Au ndio utaishia kumeguka kama matope muda mfupi baada ya kukabidhiwa
Ama kweli Wahenga hawakukosea ACHA INYESHE TUONE PANAPOVUJA.
Hili tukio limefanya tuone Uturuki ni Underdog katika sekta nyingi sana na Bidhaa zao ni za kutiliwa shaka kubwa sana.
Tuchukue tahadhari sana maaana uwingi wa Bidhaa za Uturuki Sokoni ni ishara kwamba Waturuki na Wabongo tunapishana Rangi ya Ngozi tu lkn kwenye janja janja ngoma ni droo.
Mungu tuvushe salama maaana huenda hili wasiagizwe kulitizama.