Waturuki watishia kumnyonga Mbwana Samatta Twitter

Waturuki watishia kumnyonga Mbwana Samatta Twitter

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,118
Reaction score
4,863
Baada ya mchezaji mpira bwana Samatta ku posti twitter akizindua kampeni ya CocaCola akiwa kiwandani hapo, mashabiki kupitia ukurasa wake wa Twitter wamemshambulia kuhusu kiwango chake kwa kutotumia vema gharama zilizogharamiwa na timu yake na kutishia kumnyonga staa huyo.

Hapa ni moja ya video ikionyesha chupa ya CocaCola yenye jina la Samatta ikinyongwa.

Daaaahhh, Wazungu ni watu wa mbele ni heri tuwaachie Uhuru wao wa kutoa maoni.
Waturuki sio Wazungu ni Wavamizi tu huko Insabul ardhi ya Wakristo wa Kwanza Duniani.. Waturuki kwao ni Mongolia Asia enzi hizo sura zao kama za Wachina kabla hawajamix mix.. so Nchi ambayo imefanya unyama wote duniani ndio Maana Netanyau huwaambaia live kuwa Uturuki hawana la kumfundisha Israel kutenda Memo... sawa na Mwovu kumuambia mtu mwema atende mambo mema...
 
Ndo wenye ottoman empire ama
 
Back
Top Bottom