Haleluuyah, amina! Dedication kwa wanalumumba wote, wimbo wa; Waraka wa Amani(Esther)- Bahati Bukuku. Wasichoke kusikiza ujumbe wote hadi dakika ya 22.We wish you well.Mungu atawapigania
Kwani imekua vita?We wish you well.Mungu atawapigania
siku mukitoka ldc na muache kutumia asilimia moja ya akili zenu,,, tutawaheshimu
Mbona Kenya nayo ni LDC kama wengine. Bado mnapokea misaada, bado hamuwezi kujilisha, watu masikini bado ni wengi. Vurugu kila mahali, sio kwenye siasa, sio kwenye jamii wala sio kwenye matatu za Rongai.siku mukitoka ldc na muache kutumia asilimia moja ya akili zenu,,, tutawaheshimu
Mbona Kenya nayo ni LDC kama wengine. Bado mnapokea misaada, bado hamuwezi kujilisha, watu masikini bado ni wengi. Vurugu kila mahali, sio kwenye siasa, sio kwenye jamii wala sio kwenye matatu za Rongai.
Kenya ranked as 'failed state'Acha uwongo wewe.... Najua hadithi za vijiweni ziko kwenye DNA.. Danganyika is the poorest nation in the world comparable only to Haiti.
Kenya ranked as 'failed state'siku mukitoka ldc na muache kutumia asilimia moja ya akili zenu,,, tutawaheshimu
No Ivo hatuwez vumilia😃Ina stajabisha kuona wakenya leo
wanalia lia eti watanzania wamejaa kwenye uwanja wao. Tumekuja hapa kutokana na kenjeli, dharau, na uwongo ambao wakenya mlikuwa mnausambaza duniani kupitia uwanja huu wa JF. Na sio hapa tu, hata kwenye majukwa mengine ya mitandaoni, wakenya wamekuwa wakipotosha ulimwengu kuhusu Tanzania. Mkitaka haya yaishe, na nyinyi mjirekebishe, mjue kama Tanzania ni nchi na inahitaji kuheshimiwa. Watanzania wazalendo hawatasita kuitetea nchi yao mpaka jasho la mwisho.
Kenya ranked as 'failed state'
Lini mnajinasua na hii aibu?[emoji115] [emoji115]
Acha uwongo wewe.... Najua hadithi za vijiweni ziko kwenye DNA.. Danganyika is the poorest nation in the world comparable only to Haiti.
Haha, Hii nyimbo ya poor nation haina umaarufu tena. Dunia inajua tunajenga kila kona ya nchi usiku na mchana kwa nguvu na fedha zetu wenyewe.
Pole kwa maumivu, vipi nafasi za kusomea terrorism katika vyuo vikuu vya Kenya intake ya 2018/19 bado zipo?Wakati Danganyika itatoka kwa the worst place to live in as an Albino
Tihahahaha.... Kweli mmepungukiwa...... Hiyo hata CNN waliapologize hadi Ceo akaja Nairobi kuapologize. Sasa nyie hotbed of Albino devourers.Pole kwa maumivu, vipi nafasi za kusomea terrorism katika vyuo vikuu vya Kenya intake ya 2018/19 bado zipo?
CNN calls Kenya a ‘hotbed of terror’ | IOL News