Watz wametoka kumuona messi(magufuli) sasa wanamuona Yamal (SSH)

french

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2017
Posts
3,648
Reaction score
3,864
Mashabiki ambao ni wananchi wametoka kumuona messi ambae ni magu, sasa timu imetafuta mchezaji mbaye ata cover nafasi ya messi amepatikana yamal (ssh). Sasa huyu Yamal sio mbaya lakini mashabiki/wananchi kila wakijaribu ku compare hawa wachezaji hawamuelewi Yamal. Kwa kifupi kivuli cha messi bado kinatawala kwenye timu hii.
 
Yamal akihamia Madrid hao mashabiki watakuja kusadiki na kujutia ushabiki maandazi!!
 
This system is corrupt when it is strictly profit driven and not driven to serve the best interests of its people...☹️
 
Politics in football labguage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…