Elections 2010 Watz wengi wanaona CCM iko tayari kuiba kura kuliko kushindwa kwa JK

Elections 2010 Watz wengi wanaona CCM iko tayari kuiba kura kuliko kushindwa kwa JK

Zak Malang

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2008
Posts
5,404
Reaction score
239
Kweli Watanzania wengi sasa wameanza kuamka -- ukiachilia mbali wale wachache walioathirika na sekondari za kata. Nilikuwa Mbeya wiki iliyopita na kila nilipopita wananchi wanasema CCM iko tayari kuiba kura na kuleta vurugu ili uchaguzi uharibike kuliko kuona mgombea wao aangushwe na Dk Slaa.

Wengi wanasema safari hii CCM hawana njia nyingine.i
 
Kweli kabisa maana nao wamegundua watz wa sasa si kama wale wa enzi za mwalimu.
 
Waache uzushi wakapige kura na kulinda kura zao!
 
CCM wameshaanza kumwaga damu kule Mara, lile tukio ingekuwa upinzani ndio wamefanya leo hii dunia nzima ingejua na ndio kingekuwa kichwa cha habari cha mgombea wa CCM. Sasa wao ndio wamepiga mapanga sura zao zimekuwa ndogo kama pilitoni.
 
Mbona CCM wana uzoefu wa kudokoa kura Umesahau ya Zanzibar?
 
Tarime walisha toa somo jinsi ya kulinda kura. Ccm hawanadini, mkiwachekea wanchakachua matokeo. Piga kura na usicheze mbali kama tarime.
 
Back
Top Bottom