Kweli Watanzania wengi sasa wameanza kuamka -- ukiachilia mbali wale wachache walioathirika na sekondari za kata. Nilikuwa Mbeya wiki iliyopita na kila nilipopita wananchi wanasema CCM iko tayari kuiba kura na kuleta vurugu ili uchaguzi uharibike kuliko kuona mgombea wao aangushwe na Dk Slaa.
Wengi wanasema safari hii CCM hawana njia nyingine.i
CCM wameshaanza kumwaga damu kule Mara, lile tukio ingekuwa upinzani ndio wamefanya leo hii dunia nzima ingejua na ndio kingekuwa kichwa cha habari cha mgombea wa CCM. Sasa wao ndio wamepiga mapanga sura zao zimekuwa ndogo kama pilitoni.