Hamna nchi ambako kesi za madawa ya kulevya zinaendeshwa watuhumiwa wakashindwaa isipokuwa US na nchi chache sana za Ulaya. Ndiyo maana MiddleEast nchi nyingi zinatandika instant death sentence kutegemeana na amount uliyokutwa nayo. Kule Far East ukikutwa nayo hakuna issue ya rufaa baada ya sentence. Aliyekuwa kiongozi wa club ya Simba anasotea sentence ya 50 yrs kule China. Kwingine kote, Africa, South America, Australia na Europe kesi za drugs ni ngumu sana. Mtu kufungwa huwa ni sehemu ya miujuiza ya kisheria. Wana-network kubwa na mi-hela ya nguvu sana hao jamaa.
Kwingine kote, Africa, South America,
Australia na Europe kesi za drugs ni ngumu sana. Mtu kufungwa huwa ni sehemu ya miujuiza ya kisheria. Wana-network kubwa na mi-hela ya nguvu sana hao jamaa.
Babake wakikukamata nao umeisha. Ni afadhali uwe na kesi ya mada kulikoni kukamatwa ukiwa unakwepa kodi kubwa kama mfanya biashara au muuza unga; kwani wote hao wanajumlishwa kwenye wahujumu uchumi na kesi zao zinaondoka life sentence.
Yuko amefungwa hapa na nyumba zate kutaifishwa na serikali jamaa kafungwa miaka 20, mwaka 2008 miaka baba yake alikuwa tajiri sana mfanyabiahsara wa madawa ya kulevya mkubwa ktk bara la ocenia akiwa na sky scrapers along the gold coast beach North of Sydney beach, nyumba ziko/ zimepanga kwenye urefu wa kama kilomita moja babu yangu hapo gold coast( dingi keshafariki mwaka 2005.
dogo akachukua kampuni na kuendelea kuingiza meli zimejaa madawa ya kulevya tuu. Kma nilivyosema mwaka 2008, March amefungwa 20 years behind the bars pia hata mama yake hakuwa anajua kwamba she was living in the criminal family kwa muda wa miaka 30.
Kwa hiyo Australia unayoisikia have changed alot, labda wauza bangi za kupanda home ndiyo hizo unakamatwa na they destroy your history Huwewzi ukapanga tena nyumba, au mkopo benki na pia pindi unapoomba kazi lazima ufanye police check as if you have attended criminal offensive issues kwa wale wanaotaka kufanya kazi za jamii.