Inanambo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,039
- 2,840
Wanajamii nilikuwa Muhi2 kumuona Mgonjwa Mwaisela4.
Jirani yake yupo mama amelazwa kafungwa mikono na miguu kitandan nguo kifuani hana hawez kujihudumia baada ya Haja kubwa na ndogo. Nilishuhudia mwanae wa kiume bado kinda la 13yrs akimfuta na Manes wakiwa hawajali kumsaidia.
Ebu fikiria mvulana anampa mama yake Mzazi huduma tena akiwa uchi hii ni sawa? Nilihoji wapi ndugu na mume nikaambiwa hawana time naye na huwa hawaji kumjulia hali. Nikashindwa kuelewa nini maana ya kulazwa Hospital ikiwa Wauguzi hawajali Usafi na Shibe yake ikizingatiwa Mgonjwa haruhusiwi kulala na familia ndugu hospital labda mtoto anayenyonya.
Pse naomba kujuzwa kama ndivyo ili nitafute pesa kuajiri Muuguzi wa kunihudumia kama wafanyavyo Wazungu