KERO Wauguzi wa Kliniki ya Afya ya Uzazi Hospitali ya wilaya Mbozi wanatudhalilisha

KERO Wauguzi wa Kliniki ya Afya ya Uzazi Hospitali ya wilaya Mbozi wanatudhalilisha

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Wahudumu wa uzazi katika hospitali ya wilaya ya Mbozi, kliniki ya uzazi wanatoa lugha ya matusi sana, udhalilishaji kwa wanawake, mfano mwanamke asipokuja na dela hutukanwa, hufukuzwa mpaka aje na dela.

Tafadhali naomba msaada wa kuposti hii ili waweze kuchukuliwa hatua
 
Back
Top Bottom