Wauguzi wanastahili heshima kubwa na maslahi makubwa

Wauguzi wanastahili heshima kubwa na maslahi makubwa

Copro mtego

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
619
Reaction score
796
Hakika tumeweza kushuhudia kazi za wauguzi kwa mgonjwa ni za kipekee sana nikafikiria mfano wauguzi wakaaamua kugoma nn kinaweza kikatokea kwa wagonjwa?

Je maisha ya wagonjwa yatakuwa hatarini kwa kiasi gani?

Je, vifo vingapi vitatokea kwa sababu ya ukosefu wa huduma za kiuguzi?

Nikawaza kwamba hawa watu wanahitaji heshima kubwa kwenye jamii na maslahi makubwa ili wazidi kufanya kazi kwa moyo zaidi
 
Back
Top Bottom