FL1 hapa kwenye maadili ni kweli hasa kwa sisi vijana, narejea zile niziitazo ndoa za kinyemela!!maadili yamemomonyoka
watu tumekosa maadili ya ndoa
kwanza utasikia kuna baadhi ya watu wanasema naoa/naolewa kuondoa mkosi hata nikiachika /nikiachwa mradi ndoa nimeionja
Je ukiingia kwenye ndoa na mawazo hayo hiyo ndoa mtashindwa kudundana /kutukanana /na kufukuzana kwa mateke na magumi
Thamani ya ndoa imepotea
Samahni Kibweka hivi haya mambo mengi ndiyo yanasababisha haya masaibu yote au ni maadili kumomonyoka kama asemavyo FL1? Na in brief tushirikishane haya mambo mengi ili iwe msaada kwetu soteNdoa ina mambo mengi sana jamani! Mungu atusaidie........
Ndoa ina mambo mengi sana jamani! Mungu atusaidie........
mambo mengi kama yapi hebu tuambie 🙂
Mi naona solution ni kuishi maisha ya kizamani yale ambayo yanasema baba ndo kichwa cha familia hivyo basi kama hajarizika na mama ruksa kuongeza mama wa pili yaani mama mdogo haya ndo yalikuwa maisha ya ndoa za kiukweli haya siku hizi mnayo sema eti nyumba iwa na usawa ni kuiga tamaduni ngeni za kizungu ambapo sisi ni weusi kabisa.
ooh Fidel80 mmh una mawazo gani tena hayo ya kuongeza small haouse wakati wewe ni kijana wa kileo kabisa
Ni wewe kweli Fidel unaongea haya na yanatoka moyoni?Na unaposema hakutoshi,kwani toka mwanzo hukumchunguza uone kama atakutosha au laa.Na ukimwambia unataka uongeze mwingine anakukubalia au unatumia mabavu.Na what if akikuambia na wewe humtoshi na yeye anataka aongeze mwingine?Shaurilo mpwa,utamaliza mabucha na nyama ni ileile tatizo ni mapishi tu.Haya mawazo mama niendelevu angalia baba zetu walivyo ishi enzi hizo angalia nyie vijana wa kileo mnavyo ishi yaani bla bla kibao kuongeza wife kwani dhambi si makubaliano ya nyie 2 unamwambia mke wa kwanza nataka niongeze mwingine wewe naona hunitoshi.
Haya mawazo mama niendelevu angalia baba zetu walivyo ishi enzi hizo angalia nyie vijana wa kileo mnavyo ishi yaani bla bla kibao kuongeza wife kwani dhambi si makubaliano ya nyie 2 unamwambia mke wa kwanza nataka niongeze mwingine wewe naona hunitoshi.
hapana nidokezi matatu ...mpaka kumi kwa faida yangu na familia yangu 🙂Have you heard about
100 Things Every Marriage Should Experience Before Dying
hapa unatufurahisha tu dada na kaka zako teh teh teh