Waume na Wake zetu


Wanaume wanaopiga wake au girlfriends mimi wananiudhi sana. Ni uonevu wa hali ya juu na wakati mwingine ni kutokana na wivu usiokuwa na kichwa wala miguu au sababu zisizo na msingi wowote.
 

ZD, nyama nyingine hata kama haijapikwa unaona ni mifupa mitupu! na nyingine unaona jinsi ilivyosheheni nyama ya kutosha. Nadhani umeshasikia kuhusu ile nyama ya Kongwa ambayo inapendwa ajabu. Jina la nyama linaweza kuwa ni lile lile lakini hata machoni kabla haijapikwa unaweza kuitenganisha nyama nzuri na nyama ambayo si nzuri 😉
 
tunachukulia ndoa kama sherehe ya kipaimara (siku moja),kumbe ndo maisha,humo katikati ndo unagundua kumbe kimeo,Suala ni lazima tujiulize kwanini nataka kuoa/kuolewa...na isiwe kwasababu flani kaoa/kuolewa..na sababu kubwa ni upendo wa dhati ambao naamini zaidi ya 95% hatuna tunatamaniana tuu na full showbizz.
tujaribu kuwasaidia wadogo,watoto na wajukuu zetu maana halisi ya UPENDO as for us nothing left we've to live the dream.
 
Nilikuwa naongea na wanawake fulani rafiki zangu wakasema wawili wakiishi pasipo kufunga ndoa kwa maana ya ile ya kiimani au kiserikali kunakuwa na amani na furaha pamoja na heshima lakini punde tu inapofungwa ndoa ndio matatizo yanaanzia hapo fujo, kutoka nje, kulala nje, mapigano, kudharauliana, kunyimana unyumba, kupangiana ratiba za kupata unyumba ambazo sio fair kwa mmoja baina yao n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…