<br />The skin is switching on
jamani wana lugha ya kiingereza msaada
je ukitaka kumwambia mtu ngozi inawasha unasemaje kwa kiingreza
neno ninalohitaji sana ni hili "washa" or kuwasha kwa ngozi au mwili
hope to receive soon b4 i consult a Doctor nipo nearby kwa mlango ,....lol
Nilijua tu Mwita25 atajibu hivyo.Poti nashurukru kwa kumjibu jibu zuri my skini is switching on MMMH kweli poti wewe chiboko.The skin is switching on
The skin is switching on