Waungwana msaada

Jamani simu yangu kila nikiandika FROG zinatokea imoj za VYURA WA KIJANI sijajua shida ni nini.


Kijani ni rangi ya bendera ya chama kipi cha siasa Tz ??!!---- hao ni vyura.🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…