Waungwana naomba msaada wenu

Tenderobo

Member
Joined
Jul 14, 2014
Posts
25
Reaction score
5
Coz ipi bora na yenye tija zaidi kati ya hizi,(1) B.commerce in banking &financial services (2) Bsc with education
 
Education na medicine kupata kazi ni rahisi kwa course za uhasibu utazunguka na bahasha mjini
 
no1 iko pouwa kama hauna haraka na vijisenti ya hyo ya pili pia hata kama mtoto wa mkulima unaweza somo tu kama kwenu hawana dependency kubwa sana kwako yani utoke afu uwe tegemeo lao la mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…