Kiwanda cha kati ndo kinategeneza nini?Waungwana naombeni mnisaidie ninataka kufungua kiwanda cha kati je natakiwa kusajiri wapi na wapi ? Sijapata information za kutosha juu ya usajiri na gharama zake anaefahamu tafadhali.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kiwanda cha kati ndo kinategeneza nini?
duh, hii inaitwa man in the middle attack(mitm)
Andika yako tu unasomeka haupo serious!...mweupee🙌
Hata wewe unanitosa ,mweee....niko serious ni vile kuna taasisi kama SIDO,BRELA na Wizara sasa kweli sijajua unaanzia wapi ?