Phone4Sale Waungwana nauza simu yangu Redim 10S ina miezi miwili tu bei 450000/=

kwetugt

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2015
Posts
280
Reaction score
244
Waungwana najua shida kill mmoja wetu humpata nakuamua kuuza kilicho chake hatakama anakipenda kiasi gani ili kimsaidie hivyo na mimi msaada wa kutatua tatizo langu nimeamua kuuza simu yangu pendwa kwa bei ya kutupa mwenyekuhitaji anitafute tuyajenge simu ni nzuri haina itirafu yoyote hata kidogo ningeweka picha lakini sina simu ya kuchukulia picha lakini mwenyekutaka tutawasiliana nimtumie picha, mie nipo geita
 
Sawa ila tengeneza basi ndo uuze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…