mkali kwanza
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 1,301
- 1,181
Wana Jamii Forum wote mliopo humu naombeni msaada wenu,nina shida sana ya kupata mkopo katika taasisi ambayo inatoa kwa masharti nafuu.Mimi ni muajiriwa katika kampuni moja lakini kwa bahati mbaya kampuni yetu haijaingia mkataba na benki wala taasisi yoyote ya kifedha kwa mambo ya mkopo,naombeni msaada weny wana jamii forum naamini great thinkers mtanipa busara katika hili.Malengo ya mkopo ni kwamba napenda nianzishe biashara yangu leseni ninayo na tin ninayo ila tatizo ni kwamba sina mtaji wa kutosha.Nimeshatembelea FINCA,PRIDE,Access bank,Advans bank,CRDB,kuulizia taratibu zao,kwa mabenki wamesema mpaka mwajiri na benki ziingie makubaliano,na kwa taasisi hizo za kawaida wamesema wanatoa mkopo kwa wafanyabiashara ambao tayari wana biashara.Kwa yeyote atakayeweza kunisadia namba yangu hii hapa 0767681302.Nisaidieni ndugu zangu kimawazo