Waungwana tusaidiane mawazo kidogo

Waungwana tusaidiane mawazo kidogo

Shida na raha

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
3,773
Reaction score
3,471
Umeenda kutembea ukweni kwako baada ya chakula cha usiku, unataka kutoka kwenda kujisaidia, kwasababu taa zimezimwa unapamia vyombo vya chakula sebuleni (ukumbi) kipindi unajaribu unapapasa uviweke sawa mara taa inawashwa na mama mkwe anaona umeshika vyombo anakwambia, baba kama hukushiba ungesema, wewe ungefanyaje na unamuonea aibu sana mkwe wako.
 
Hahahaha..................
 
Hahahahahahahah jamanii mmhh......
Hahahahahahahaaaaa...... Mbavu zangu mweee
 
Mifano mingine kutafutiana lawama tu, ah...
Tusitishane bwana,
 
Back
Top Bottom