Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Unamwambia wewe auUnamwambia una nyege sn huoni vzr
Unamchokoza
Unamchokoza
Hahahaha..................Umeenda kutembea ukweni kwako baada ya chakula cha usiku, unataka kutoka kwenda kujisaidia, kwasababu taa zimezimwa unapamia vyombo vya chakula sebuleni (ukumbi) kipindi unajaribu unapapasa uviweke sawa mara taa inawashwa na mama mkwe anaona umeshika vyombo anakwambia, baba kama hukushiba ungesema, wewe ungefanyaje na unamuonea aibu sana mkwe wako.
Asante ila ungenisaidia KaipelekaHii peleka kule chitchat mkuu
Kopi kisha ipesti kuleAsante ila ungenisaidia Kaipeleka
Mi cjuiKopi kisha ipesti kule
mbona umenuna halafu unanidanganya umecheka sana ngoja na Mimi ninune sasa.Hahaha nimecheka mnoo