As Salafiyyu91
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 2,537
- 2,538
Kiria ana mfunza kazi Kilewo na ana mkumbusha kujitegemea
biblia ya wapi hiiAcheni kumshambulia Kiria, someni maandiko.
Biblia Takatifu katika kitabu cha Yoshua Bin Sira 25:22 inaasa vijana wajitambue na kujishughulisha. Katika mstari huo, imeandikwa: "Kuna utumwa mzito, na fedheha, iwapo mwanamke humlisha mumewe".
Msikimbilie kumlaumu huyo mwanamke mlaumuni huyo mumewe!
Ndugu hiyo ndiyo biblia iliyokamilika. Kwa taarifa yako, hicho kitabu cha Yoshua bin Sira ni miongoni mwa vitabu vinanyoitwa deutrokanoni. Hivi vitabu ndivyo vinaifanya biblia takatifu kuwa na vitabu 72, ndiyo inayotumiwa na Kanisa Katoliki. Vitabu hivi viliondolewa kwenye orodha na Martin Luther. Lakini sasa hata makanisa ya kiprotestant yameshaviridhia hatua iliyopelekea kuvichapisha kwenye baadhi ya matoleo mapya. Itafute biblia hiyo ili ulipate neno la Mungu kwa ukamilifu wake.Hakuna hicho kitabu ndani ya Biblia takatifu labda za mtaani
Ndoa ikikushinda ni vyema kuachana kwa amani na siyo kutoleana siri zenuMakamnda kiboko yenu ni Joyce Kiria SUPER WOMAN ANAYE WALELEA KAMANDA MWENZENU.
Makamanda hamna aibu badala ya kupitisha machango wa kumsaidia Marioo Kilewo nyie mnazidi kumuweka mahala pabaya zaidi kumtukana mtu anaye mtunza kamanda wenu..
Mlipaswa muda huu muwe mnapitisha mchango....
Biblia iliyokamilika, yenye vitabu 72 badala ya ile yenye vitabu 66.biblia ya wapi hii
Hakuna sehemu imeandikwa siku zote mwanaume atakua amesimama tu kichumi, kuna kukosa kazi, kuumwa, kupata ajali.... etcAcheni kumshambulia Kiria, someni maandiko.
Biblia Takatifu katika kitabu cha Yoshua Bin Sira 25:22 inaasa vijana wajitambue na kujishughulisha. Katika mstari huo, imeandikwa: "Kuna utumwa mzito, na fedheha, iwapo mwanamke humlisha mumewe".
Msikimbilie kumlaumu huyo mwanamke mlaumuni huyo mumewe!
Nawaonea huruma watoto hili bandiko lita dumu miaka watoto wataona jinsi mama alivyo muanika baba hadharani.Kiria amaichafua family kwa kulialia mbona alikuwa housigel kileo kamuendeleza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mtandaoni pangekuwa hapatoshi kila mtu ana mwaga kashfaH
Huyu Kiria alifaa aolewe na Kapteni wa Clouds
Nani kakuambia hiyo imekamilika? idadi ya vitabu vinavyotakiwa kua ndani ya Bible unaipatia wapi ili ku prove hilo?Biblia iliyokamilika, yenye vitabu 72 badala ya ile yenye vitabu 66.
We ni mwanamke?Mimi namtetea J.Kiria, huyo Kilewo ni siyo alpha Male, hata nyie wote mlioandika huo ujumbe pia mko sawa na Kilewo wote ni Ma-beta male!
J.Kiria anafaa Mwanaume Alpha yaani Dume la Nyani linaloongoza kundi siyo crying babies kama nyie!
Hivyo hivyo J.Kiria waumbue na kuwaanika hawa wanaume suruari ma-beta!
Mwanaume wa kweli ni lazima Mwanamke atakupa full heshima na heshima haiombwi bali heshima huchumwa na kufanyiwa kazi, piga chini huyo jamaa akatumwe na Mbowe!
Which religion do you refer to? Aren't you away that religions are not uniform? If you think a religion is like a pe.nis and that you ought to keep it hidden, it's a bad luck. It is a bad luck because a real man doesn't hide his pe.nis to himself. He uses it for reproduction henceforth he exposes it to his wife.Kinachonikera ni kuona watu walio gizani mnajiona mna ufahamu kumbe mko kama mbwa mnaongozwa na miluzi tu. Na watu wanaoufahamu ukweli wamenyanyama, and don't bother anybody. Religion is like penis, hide it for yourself and you don't have to show it to everybody.
Biblia iliyokamilika inapatikana kwenye kanisa takatifu katoliki la mitume. Huko ndo yaliko mamlaka ya kufungua na kufunga aliyokabidhiwa Mtume Petro. Huko ndo vilifungwa vitabu 72 kuwa neno la Mungu na kuviacha mamia ya vingine kuwa mapokeo yafaayo kunakishi misingi ya ukristu.Nani kakuambia hiyo imekamilika? idadi ya vitabu vinavyotakiwa kua ndani ya Bible unaipatia wapi ili ku prove hilo?
Sira??? [emoji28] [emoji28]
Kileo haumwi, hajapata ajali, na kazi aliyoichagua ni siasa ambayo ndo anafanya hata sasa. Kwa hiyo lazima tushangae tukisikia mwanaume huyo analishwa na mkewe.Hakuna sehemu imeandikwa siku zote mwanaume atakua amesimama tu kichumi, kuna kukosa kazi, kuumwa, kupata ajali.... etc
Huyu dada ni shetani, mwanaume kupiga mwanamke haikubaliki hata kidogo lakini ni mpumbavu tu anaetoka nje na kuanza kuelezea matatizo ya familia tena ambayo hayafai kuwekwa hadharani. Wanawake wangapi wanalea familia zao na mwisho wa siku mambo yanarudi kwenye mstari?
Nakubaliana na wewe, lakini hakuna ilipoandikwa kwamba mwanaume kila siku tu atakua nazo... kuna shida na raha, uvumilivu ni jambo la msingi sana, huyu mjinga kama umegundua kaanza kulalamika baada ya mume kupita kipindi cha mpito.aise wanaume wenzangu..tafuta hela nakusihi tafuta helaaaa Joyce hana tofauti na wanawake wengine..mwanamke atakuvumilia pale akikuona unafight kutafuta mbili tatu.. usipokuwa unafight utadhalilishwa tu. pesa kwa mwanamke ni kama uzuri kwako ulivo muhimu kwetu. mwanamke akibweteka akawa hapendezi tena utatafuta nje tu wakupendeza na mwanaume ukiacha kutafuta naye atatafuta tu wa kumlea