Waungwana

Waungwana

LING'WINA

Senior Member
Joined
Jan 4, 2012
Posts
170
Reaction score
114
ni nini usahihi wa matumizi ya maneno "TUNZO na TUZO?"
 
tuzo huwa inatolewa baada ya kushinda kutokana na upigiwaji wa kura na mnakuwa wengi.

tunzo huwa anapatiwa mtu mmoja kama heshima fulani aliyoitoa kwenye jamii yake.
 
Back
Top Bottom