Wauswazi wenzangu, mnakumbuka matani? Twende, twendee, twendeee

twendee twendee tumbo kama pakacha la maembe twendee twendee
 
hahahah...aseee

pua kama kona ya soksi
 
twende twende,kifua kama kibao cha kamali. Nalog off
 
Umevimba kiuno kama panya dume, umekoma mpaka ukitema mate yanadunda, mweusi kama ulipata ajali na gari la kiwi, ukiwa unaenda utadhani unakuja
 
miguu kama spoku za baiskeli twende twendeeeeeeeeeeeee....mpaka leo sijajua spoku za baiskeli ndio nini na zikoje?
Nadhani hii itakuwa fumbuzi wa tatizo lako.
 

Attachments

  • Spokes[2].jpg
    84.9 KB · Views: 278
ulienda hotelini ukapewa chai, chapati na uma. Chai ukanawia uso, chapati ukafutia uso, uma ukachania nywele. Twende... Twende. Mdomo mkubwa chapati hukunji
 
twende twendeee, kitambi ka chale mwembamba...........twende twende.......pua ka kanyagio la mende...........twende twende upukupuku wa mavi kwenu kisamvu..............twende twende.
 
twende twende.......ushuzi wa mavi kwenu pafyumu......twende twendeeeeeee miguu kama teremka tukaze............twende twendeeeee
 
Ulizaliwa sokoni ukafunikwa na maganda ya ndizi,
unavaa chupi iliyoandikwa takoni no:1,
 
ulizaliwa mjini ukafunikwa na maganda ya kabeji...twende twende.
umevaa chupi iliyoandikwa kwa nyuma no:1
 
Twende twende, uliambiwa kuja asubuhi na mapema, ukaenda asubuhi na mapera twende twende kijiko kwenu mswaki twende twende kujamba kwa tembo kwenu taarifa ya habari twende twende
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…