kweli mkuu fursa.Fursa hyo kwa wauza dagaa bora wahamie hko hku kushasanuka mkuu
Ova
Nonsence! Kwan binaadam amezaliwa ili afanye biashara ya dagaa pekee hapa duniani? Si wafanye biashara zingine wakiwa hapa bongo bannaa.ya nini kuhamisha mtaji ugenini asee.mawazo mgando ayo
We nawe usituchoshe, sasa mtu km kisha invest mapesa yake huko unataka afanyeje? Achukue boti lake na nyavu apite barabarani kupakia watu kwenye hiyo boti kuwasafirisha kwenye lami? Great thinkers sijui wameenda wapi jamani, jukwaa limekuwa vululu vululu, unauliza hesabu unajibiwa historia, unauliza sahani unajibiwa bakuli...mnakera bana! Mtu mpaka anaingia kufanya issue km hiyo ujue kashaisoma na kuitafiti kitambo, ss aanze upya kutafiti biashra nyingine eeh, utampa wewe huo muda na mali za kuchezea?????Nonsence! Kwan binaadam amezaliwa ili afanye biashara ya dagaa pekee hapa duniani? Si wafanye biashara zingine wakiwa hapa bongo bannaa.ya nini kuhamisha mtaji ugenini asee.mawazo mgando ayo
We nawe usituchoshe, sasa mtu km kisha invest mapesa yake huko unataka afanyeje? Achukue boti lake na nyavu apite barabarani kupakia watu kwenye hiyo boti kuwasafirisha kwenye lami? Great thinkers sijui wameenda wapi jamani, jukwaa limekuwa vululu vululu, unauliza hesabu unajibiwa historia, unauliza sahani unajibiwa bakuli...mnakera bana! Mtu mpaka anaingia kufanya issue km hiyo ujue kashaisoma na kuitafiti kitambo, ss aanze upya kutafiti biashra nyingine eeh, utampa wewe huo muda na mali za kuchezea?????
Kichwa kinajieleza WAZINonsence! Kwan binaadam amezaliwa ili afanye biashara ya dagaa pekee hapa duniani? Si wafanye biashara zingine wakiwa hapa bongo bannaa.ya nini kuhamisha mtaji ugenini asee.mawazo mgando ayo
Mkuu kule wanauzaje?Wakuu,
Wale wafanyabiashara wa dagaa hamieni Uganda na Kenya nako wanavua dagaa na soko kubwa liko Sudani Kusini hawa wanaoendesha operation ziwa Victoria wasiwaathiri.
Kweli kabisaKichwa kinajieleza WAZI
KWA WAFANYABIASHARA WA DAGAA
AU WEWE NDIO WALE AKINA ZIRO!