Wauza maandazi mnaupiga mwingi

Wauza maandazi mnaupiga mwingi

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Jamani wale tunaopenda kununua maandazi tuwe tuna yabonyeza kabla ya kununua.

Kodi zimekuwa kubwa na tozo.

IMG_1098.jpg
 
😂😂😂😂 sasa mafuta ya kupikia yamepanda bei, ges na mkaa navyo vipo juu, unga sukari vyote vinapanda bei kila mwaka ila bei ya maandazi ipo pale pale kwann wasitafte mbinu ya kubalance nawao wapate faida.
 
Kila Mtu Ashinde Match Zake Vinginevyo Tutacheleweshana
 
Hilo ndilo andazi, ungetaka kisicho na uwazi ndani ungenunua wanachoita 'hafukeki'
 
Back
Top Bottom