Jamani wale tunaopenda kununua maandazi tuwe tuna yabonyeza kabla ya kununua.
Kodi zimekuwa kubwa na tozo
View attachment 1967121
Jamani wale tunaopenda kununua maandazi tuwe tuna yabonyeza kabla ya kununua.
Kodi zimekuwa kubwa na tozo
View attachment 1967121
Yani mpaka karne hii bado kuna watu wananunua maandazi kwa kuchaguachagua? Daaah.Ukiyabinya binya utayaharibu cha kufanya akija muuzaji akupe uma uchague